Rais
Jakaya Kikwete, akipokea zawadi ya Solar kutoka kwa, Jaina Msuya wa
banda la mradi wa Umeme vijijini. wakati alipotembelea mabanda ya
maonyesho ya miaka 5o ya Uhuru yanayofanyika kweye Viwanja vya Mwalimu
Nyerere Sabasaba Dar es Salaam jana. Picha na Ikulu.
Rais Kikwete, akisaini katika kitabu cha wageni alipopita katika banda la Benki Kuu.
Rais Kikwete akiangalia gramophone ya 'His Masters Voice' katika banda la Wilaya ya Moshi
Rais Kikwete akiongea na wanafunzi wa Versity Secondary School juu ya maabada ya sayansi
Rais Kikwete akipata maelezo ya mashine ya kisasa ya kufyatulia matofali kwenye banda la JWTZ
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)