Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kimkabidhi zawadi ya picha ya Pundamilia Balozi wa
Uturuki nchini Dr. Sander Gurbuz ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri
Mkuu jijini Dares salaam Desemba 13, 2011 kuaga
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua baiskeli ya miguu mitatu iliyotengezwa na
na Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) kwa ajili ya
walemavu na ambayo baada ya kuikagua alishauri ifanyiwe majaribio kabla
ya kuzalisha nyingi.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO, Mike Laizer na
kushoto ni Meneja wa SIDO wa Mkoa wa Dar es salaam, Hamwel Meena na
wapili kushoto ni Ofisa wa Ufundi wa SIDO, Mina Nchimbi.Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)