TAMASHA LA KUCHOMA NYAMA LAANZA KWA MBWEMBWE KIJITONYAMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAMASHA LA KUCHOMA NYAMA LAANZA KWA MBWEMBWE KIJITONYAMA

Nyama choma ndipo mwanzo mwisho 

 Lile tamasha kubwa la Nyama Choma lililopangwa kufanyika katika viwanja vya Posta ndo limeanza hivi punde na watu kibao wameanza kumiminika katika Viwanja hivi vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Huku mabanda kibao kama hili la Rose Garden likiwa tayari limeivisha nyama. Upande wa burudani ni Disko kabambe pamoja na Vijana makini wa Twanga Pepeta wapo uwanjani hapa kutoa burudani mwanzo mwisho. Vinywaji ndo usiseme.
 Maini ndo hayoooo yanakatwakatwa....
Kitu Safari Lager a.k.a wadhamini wakuu wapo...
Vyuku hivyo jamani
Safari lagaer team hiyo.Picha Na Father kidevu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages