SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA BIL 1.7 KUTOKA KWA SERIKALI YA UFARANSA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA BIL 1.7 KUTOKA KWA SERIKALI YA UFARANSA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 1.07 na Balozi wa Ufaransa nchini Marcel Escure (kulia) jana jijini Dar es salaam. Fedha hizo zitasaidia sekta ya umeme na uboresha wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 Balozi wa Ufaransa nchini  Marcel Escure (kulia) akiongea mara baada ya kusaini makubaliano na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijja (kushoto)  ya kuipatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 1.07 jana jijini Dar es salaam. Fedha hizo zitasaidia sekta ya umeme na uboresha wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akiongea mara baada ya kusaini makubaliano na Balozi wa Ufaransa nchini na Balozi wa Ufaransa nchini  Marcel Escure (kulia)  ya kuipatia Tanzania msaada wa shilingi bilioni 1.07 jana jijini Dar es salaam. Fedha hizo zitasaidia sekta ya umeme na uboresha wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages