Serikali Ya China Yaipa Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Msaada Wa Fedha Ili Kuisaidia Zanzibar Katika Shughuli za Maendeleo ya Jamii - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Serikali Ya China Yaipa Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Msaada Wa Fedha Ili Kuisaidia Zanzibar Katika Shughuli za Maendeleo ya Jamii

 Balozi wa China Nchini Tanzania Liu Kinsheng, akibadilishana Mikataba baada ya kusaini na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo,Omar Yussuf Mzee, akitiliana saini na Balozi wa China Nchini Tanzania Liu Kinsheng,msaada wa kuisaidia Zanzibar katika shughuli za Maendeleo ya Jamii, utilianaji wa saini hiyo umefanyika katika Wizara ya Fedha Vuga. 
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo, Omar Yussuf Mzee, akitowa maelezo kwa Waandishi wa habari baada ya kusaini msaada na balozi wa China, 
Balozi wa China Nchini Tanzania Liu Kinsheng, akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kutiliana saini na Waziri wa Fedha wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages