Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza ola Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akitoa salamu za kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 Biladiya, kwa
wananchi wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla,na kuwatakia amani na
utulivu pia amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali yao kwa michango
mbali mbali kuliletea maendeleo ya Taifa letu.
Picha na Ramadhan Othman IKULU.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)