Salam za Mwaka Mpya 2012 Kutoka Ngoma Africa Band aka FFU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Salam za Mwaka Mpya 2012 Kutoka Ngoma Africa Band aka FFU

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU
YATOA SALAM ZA HERI YA MWAKA MPYA 2012    
Kwa Wadau wote! Happy New year             

Bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU yenye makao yake Ujerumani,Inatoa salam za heri ya mwaka mpya 2012 kwa wadau wote,mabibi na mabwana,wakubwa nawatoto popote pale duniani.
 
Tuna watakia kila la heri na baraka za mwaka mpya 2012 ,afya njema,maisha bora,furaha,amani,upendo na mshikamano.
Happy New Year 2012
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages