SAIDA KAROLI AWACHENGUA WAHAYA BUKOBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

SAIDA KAROLI AWACHENGUA WAHAYA BUKOBA


DSC06295
Msanii Saida Karoli akiwapagawisha mashabiki wake jioni ya leo Uwanjani Kaitaba
DSC06286
Kundi zima la Msanii wa Nyumbani Saida Karoli wakisindikizwa na Msanii Asecdo .
DSC06288
Kushoto ni Mdau Willy Rutta wa Kiroyera Tours ambao ndio waandaaji wa Onyesho hili
DSC06294

Saida akitoa burudani ndani ya uwanja wa kaitaba katika show anayoendelea kuifanya kanda ya ziwa msimu huu wa sikukuu
DSC06296 Mashabiki wengi wamejitokeza katika show hii kama unavyoweza kujionea

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages