Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akiongoza maanadamano ya uzinduzi wa muongo wa usalama barabarani
na huku akisalimiana na wananchi waliokusanyika pembezoni na Makamo wa
Kwanza wa Rais maalim Seif Shariff kama wanavyoonekanwa
pichani,maandamano hayo yalianzia Bwawani yakielekea Hospitali ya Mnazi
Mmoja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,alipofika kuwafariji wagonjwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja,
waliopata ajali mbali mbali, ikiwa ni katika uzinduzi wa Muongo wa
Usalama barabarani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed
Shein akivishwa Beji kuashiria Usalama Barabarani na Rais wa Kitengo
cha Usalama Barabarani wa Oman Balozi Wahid Alkharous katika Ukumbi wa
Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar leo katika hafla ya uzinduzi wa Taifa
wa Usalama Barabarani
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed
Shein akitoa hotuba yake kuhusu Usalama Barabarani katika uzinduzi wa
Taifa wa Usalama Barabarani uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya
Bwawani Mjini Zanzibar
Waziri
wa Miundo mbinu na Mawasiliano Zanzibar Hamad Masoud Hamad akitoa
hotuba kuhusu Usalama Barabarani katika uzinduzi wa Taifa wa Usalama
Barabarani kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi Rais Shein kuhutubia
katika Ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed
Shein akimfariji Mgonjwa Yassir Yussuf ambaye amepata ajali ya Pikipiki
na kulazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika
Uzinduzi wa Taifa wa Usalama Barabarani.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed
Shein akiwa katika matembezi pamoja na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim
Seif Sharif Hamad kulia kwake,kushoto kwa Rais ni Rais wa Kitengo cha
Usalama Barabarani wa Oman Balozi Wahid Alkharous walipokuwa wakielekea
Hospitali ya Mnazi Mmoja ili kuwakagua wagonjwa waliokuwa wamepata
ajali Picha na Ramadhan Othman Ikulu/ Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)