Naibu
Waziri wa Fedha Pereira Ame Silima (katikati) akizindua Mkataba wa
Huduma kwa Mteja wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) jana jijini Dar es
salaam mara baada ya mahafali ya tisa(9) ya Taasisi hiyo. Wengine ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushari ya TIA Profesa Isaya Jairo(kushoto) na
Kaimu Mtendaji Mkuu wa TIA Shah Hanzuruni(kulia)
Baadhi
ya wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakicheza muziki
jana jijini Dar es salaam wakati kwa sherehe za mahafali ya tisa(9) ya
Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA).
Naibu
Waziri- Naibu Waziri wa Fedha Pereira Ame Silima akitoa hotuba kwa
wahitimu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania jana jijini Dar es salaam wakati
wa sherehe za mahafali ya tisa(9) ya Taasisi hiyo ya kuwatunuku vyeti
na shahada wahitimu hao .Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam









No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)