MUSTAFA HASSANALI KUSHEHEREKEA MSIMU WA SIKUKUU KWA MAUZO MAKUBWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MUSTAFA HASSANALI KUSHEHEREKEA MSIMU WA SIKUKUU KWA MAUZO MAKUBWA


A model wearing Mustafa Hassanali's Design during the fashion  Bussiness in Angola 15th of O ctober-2011
Nigerian Supermodel OLUCHI OMWEAGBA  In A mustafa Hassanali
Grand finale Mustafa Hassanali collection at FIMA in Niamey in Niger on 26 November 2011.
-- 
MUSTAFA HASSANALI  KUSHEHEREKEA MSIMU WA SIKUKU KWA MAUZO MAKUBWA

MAUZO YA KWANZA KABISA YA MITINDO KUTOKA KWA MBUNIFU WA KWANZA  

MAUZO NI KWA SIKU TATU TU

Tukiwa tunakaribia kumaliza mwaka, Mbunifu wa kiafrika kutoka Tanzania, Mustafa Hassanali atasheherekea msimu huu  kwa kufanya mauzo ya ubunifu wake kuanzia tarehe 20th-22nd Desemba 2011.

Kwa mara ya kwanza kabisa  tangu alipoanza kazi yake ya ubunifu ,Mustafa Hassanali atafanya pungozo kubwa la  nguo zake za kutokea usiku kwa asilimia70. Dhumuni la mauzo haya makubwa  ni kufanya  watanzania walio wengi kupata Sanaa ya Mustafa kwa bei ya unafuu.

“Kukuza Dhana ya vitengenezavyo Tanzania, Tunaelewa umuhimu wa uzalendo, na wakati wa msimu huu wa skuku, hakuna kililcho bora kama bora kuvaa vazi la Mustafa Hassanali . Ili kuweza kuongeza motisha, Tutatoa  marekebisho ya kila nguo itakayonunuliwa” alisema meneja masoko Hamis K Omary.

 Mauzo hayo Makubwa ya Mustafa Hassanali yatafanyika, Kilimani Road mkabala Patricia Mezger clinic kuanzia saa 4 asubuhi hadi 12:00 jioni!

 “Hii ni nafasi ya mara moja katika maisha ya  kujipatia ubunifu wa Mustafa Hassanali kama zawadi  kwa hii sikuku ya Krismasi kwa wapendwa wako alihitimisha msemaji wa Kampuni ya Amisa Juma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages