MSAADA WA VYAKULA KATIKA KAMBI YA WAZEE FUNGA FUNGA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MSAADA WA VYAKULA KATIKA KAMBI YA WAZEE FUNGA FUNGA.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa morogoro, Adolphina Chialo akizungumza na wazee wa Kituo cha Funga Funga katika Kata ya Kichangani mkoani Morogoro kabla ya kukabidhi msaada wa vyakula.
Kamanda Chialo akimkabidhi sehemu ya msaada kwa mtoto, Rose Juma (12).
Hapa Kamanda Chialo akimkabidhi, Seleman Kisengo (12) ambapo watoto hao ni miongoni mwa watoto wanaoishi katika kambi hiyo ya wazee wasiojiweza ya Fungafunga.
Sehemu ya wazee wasiojiweza wa kituo hicho wakimsikiliza kamanda Chialo. Picha hisani ya Juma Mtanda Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages