Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya Ateta na Waandishi Wa Habari na Kuwaeleza Juu Ya Bei ya Bidhaa,Na Hali ya Mvua Mkoani Rukwa Na Pia Hali ya Barabara na Usafi wa Mazingira Mkoani Humo. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya Ateta na Waandishi Wa Habari na Kuwaeleza Juu Ya Bei ya Bidhaa,Na Hali ya Mvua Mkoani Rukwa Na Pia Hali ya Barabara na Usafi wa Mazingira Mkoani Humo.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya (MB) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake hivi karibuni kuhusu bei ya bidhaa, hali ya mvua mkoani Rukwa, Hali ya Barabara na usafi wa mazingira mkoani humo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Rukwa ofisini kwake. Kulia ni Mussa Mwangoka (Mwananchi-Rukwa), Sammy Kisika (Star TV na RFA-Rukwa), na Petty Siame (Daily News/ Habari Leo- Rukwa) Kushoto ni Kaimu Mkurugenza wa Manispaa ya Sumbawanaga, Bw. Maulid.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages