Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd Atembelea Maonyesho Ya Miaka 50 Ya Uhuru - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd Atembelea Maonyesho Ya Miaka 50 Ya Uhuru


Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta kutoka Idara ya Usimamizi wa Mifumo ya Fedha , Wizara ya Fedha Elimu Sekeni(kushoto) akimwonyesha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd (katikati) picha za Mawaziri waliowahi kuiongoza Wizara hiyo tangu mwaka 1961 hadi 2011 jana jijini Dar es salaam wakati kiongozi huyo aliopotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika maonyesho ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kulia ni  Naibu Waziri wa Fedha Pereira Silima.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages