MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAFANA JIJINI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAFANA JIJINI MBEYA

Daktari wa watoto toka hospital ya rufaa mbeya Dr. Brenda Anosike akielezea jinsi ya kuwatunza watoto waliyopata maambukizi ya ukimwi
Baadhi ya wananchi na wafanyakazi wa jiji la mbeya wakimsikiliza mgeni rasmi
Moja wa waadhirika wa ugonjwa wa ukimwi  dada Tabia akielezea jinsi wananchi wanavyo wanyanyasa wagonjwa wa ukimwi
Afisa mtendaji kata ya ilomba akipokea boksi la kondom toka kwa mgeni rasmi
Mwanafunzi wa shule ya msingi sisimba Atuganile akiimba huku akitoa machozi kuwakumbuka waliyokufa kwa ugonjwa wa ukimwi
Wanafunzi wa shule ya msingi wakiimba kwa huzuni wimbo wa kuwakumbuka waliokufa kwa ukimwi.Picha na Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages