Mbunge
wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti
Msanii, Mohamed Nice 'Mtunis' kwa kutambua mchango wa kazi zake
kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es
salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka
2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo.
Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.
Mbunge
wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti
Msanii, Jimmy Mponda kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na
Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati
wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii
wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na
Rajiv Solanki.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)