Daraja la Luhanga limekatika na watu wanapita katika maji yenye kimo cha kiunoni
Dar na foleni ya asubuhi.Hapa ni njia panda ya tabata segerea na foleni hii imeanzia Buguruni
Leo asubuhi Ubungo maziwa.Maduka,bucha na saloon vikiwa vimefungwa na maji yamejaa ndani
Mzee huyu anaendelea na usafi wa nyumba yake maeneo ya Luhanga
Daraja
la kigogo limekatika.vijana wameweka nguzo za umeme na wanatoza 500 kwa
kila anayepita hapo.anayeogopa kuvuka mwenyewe wanamsaidia kuvuka kwa
sh 1000.
Hapa vijana wakimsaidia dada kuvuka.Picha Na Mjengwa Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)