Exim Yafungua tawi jipya Buguruni - Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Exim Yafungua tawi jipya Buguruni - Dar es Salaam

Jengo la Benki ya Exim Tanzania tawi la Bugurun
Wakurugenzi wa benki ya Exim Tanzania Hanif Jaffer (wa pili kulia) na Shaffin Jamal wakikata utepe kuashiria uzindua rasmi wa tawi jipya la Buguruni katika hafla fupi iliyofanyika jana Dar es Salaam. Tawi hilo linaifanya benki hiyo kuwa na jumla ya matawi 22 nchini.Kulia ni Meneja Mkuu Dinesh Arora na kushoto ni Meneja wa tawi Furanaeli Kimaro na wengine ni wafanyakazi na wateja wa benki hiyo.
Meneja wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Buguruni Furanaeli Kimaro (kushoto) akiagana na Mkurugenzi wa benki hiyo Shaffin Jamal baada ya kuzindua rasmi tawi jipya la Buguruni katika hafla fupi iliyofanyika jana Dar es Salaam. Tawi hilo linaifanya benki hiyo kuwa na jumla ya matawi 22 nchini.Wengine Meneja Mkuu Dinesh Arora (wa pili kushoto) na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa benki hiyo Haniff Jaffer .Source:Full Shangwe

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages