AJALI SINGIDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJALI SINGIDA

Askari wa usalama barabarani akitiza malori yaliyogongana uso kwa uso, katika eneo la Kisaki nje kidogo ya mji wa Singida jana saa moja usiku na kuhusisha lori namba T 460 ARL Scania iliyokuwa inavuta tela namba T 812 AAZ na lori lingine namba T 611 BHL  Scania,liliokuwa na tela namba T 377 BLB, hata hivyo hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
Askari wa usalama barabarani akikagua basi la kampuni ya Mohammed Trans lililopata ajali wakati likitokea Mwanza-Dar Es Salaam, katika eneo la Kisaki, nje kidogo ya mji wa Singida.Hakuna aliyejeruhiwa na abiria waliendela na safari baada ya kampuni kupeleka basi lingine.
Askari wa usalama barabarani akitiza malori yaliyogongana uso kwa uso, katika eneo la Kisaki nje kidogo ya mji wa Singida jana saa moja usiku na kuhusisha lori namba T 460 ARL Scania iliyokuwa inavuta tela namba T 812 AAZ na lori lingine namba T 611 BHL  Scania,liliokuwa na tela namba T 377 BLB, hata hivyo hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo..Picha na Mjengwa Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages