Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya
Standard Chartered Barani Afrika, Diana Layfield (katikati) na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo nchini Jeremy Awori kabla ya mazungungumzo
yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Novemba 1,2011.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya
Standard Chartered Barani Afrika, Diana Layfield (kulia) na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo nchini Jeremy Awori Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Novemba 1,2011.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)