Mwenge Wa Uhuru Wapiga Hodi Wilayani Namtumbo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Mwenge Wa Uhuru Wapiga Hodi Wilayani Namtumbo

DSC_1660
Mkimbizi mwenge Elisha Lawrence Gama akitoa ujumbe wa mwenge kwa wananchi wa wilaya ya namtumbo mkoani ruvuma,juzi katika viwanja vya ccm wilayani
DSC_1646
Mwenge ukikimbizwa wilayani Namtumbo
DSC_1673
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Bi Mtumwa Rashid Alfani akijiandaa kumpa tone la vitamini A mtoto wa miaka 2 Athumani Idd baada ya kuzindua zoezi la chanjo kwa watorto walio chini ya umri wa miaka mitano wilayani namtumbo juzi,
DSC_1671
Kiongozi wa mbio za mwenge Bi Mtumwa Rashid Alfani akimpatia tone la vitamini A Suzy Lucas Njela ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa zoezi la chanjo kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano katika wilaya ya namtmkoani Ruvuma juzi ambapo wilaya hiyo imekusudia kutoa chanjo ya magonjwa mbalimbali kwa watoto zaidi ya 143133 kiwango ambacho ni kikubwa ikilinganishwa na wilaya nyingine za mkoa huo,
DSC_2352
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw Said Mwambungu kulia,akisisitiza jambo wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye ufunguzi wa sherehe za miaka 50 ya uhuru ambazo kimkoa zilifankika katika viwanja vya nane nane mjini songea jana,Kushoto ni dkt Ngowi wa hospitali ya mkoa songea.Picha Zote  na Muhidin Amri

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages