Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni
ya simu za Mikononi ya VODACOM Bw.Rene Meza kabla ya mazungumzo
yao,ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 3,2011 Katikati ni Ofisa
Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita Makamba.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni
ya simu za Mikononi ya VODACOM Bw. Rene Meza, ofisini kwake jijini Dar
es salaam Novemba 3, 2011. Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA,
Mwamvita Makamba.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa
kampuni ya Vodacom Bw. Walarick Nittu wakati Mkurugenzi Mendaji mpya wa
Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza (wa pili kulia) alipomtembelea Waziri
Mkuu ofisini kwake jijini Dar es salaam leo kujitambulisha. Wa pili
kushoto ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita
Makamba.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)