Mdau Wa Lukaza Blog Martin Godfrey Akiwa Ndani Ya JOho Wakati Wa Mahafali Yake ya kuhitimu Shahada ya Kwanza.Lukaza Blog Inapenda Kukupa Pongezi Nyingi Sana Kwa Kuhitimu Masomo Ya Shahada ya Kwanza.Hongera Kwa Kuhitimu Maana Nchini Kwetu Siku Ya Kuanza masomo ya elimu ya juu inajulikana lakini siku ya kuhitimu haijulikani Hongera sana Mdau wangu Mkubwa
Mdau Martin Godfrey (wa pili kulia) Akiwa na rafiki zake ambao walikua pamoja katika Mahafali ya kuhitimu shahada zao za Kwanza.Hongereni Kwa kuhitimu maana ukiwa Tanzania Siku ya Kuanza Masomo ya Shahada Ya Kwanza Inajulikana Ila Siku ya Kuhitimu Haijulikani.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)