MAMA ASHA BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA MAHAFALI YA 9 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU CHA DKT KAIRUKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA ASHA BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA MAHAFALI YA 9 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU CHA DKT KAIRUKI

  Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimpongeza kwa kumpa taji la maua mtoto wa dada yake, Musiba Mshimba, aliyehitimu katika Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki  baada ya kutunukiwa cheti cha kuhitimu mafunzo ya Doctor Of Medicine wakati wa mahafali ya 9 ya chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa karimjee jijini Dar es Salaam leo mchana.
 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, Dkt. Salim Ahmed Salim, akimtunuku, Musiba Mshimba, aliyehitimu katika chuo hicho wakati wa maafali ya 9 ya chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Mama Asha Bilal, Ndugu Jamaa na Marafiki wakiendelea kumpongeza Musiba Mshimba.
 Mama Asha Bilal, akipiga picha ya kumbukumbu na Musiba pamoja na baadhi ya wanandugu.
Baadhi ya wahitimu wakila kiapo wakati wa mahafali hayo walipokuwa wakitunukiwa vyeti.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages