Makamu Wa Kwanza Wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad Atua Usafiri Wa Boti Kwenda Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu Wa Kwanza Wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamad Atua Usafiri Wa Boti Kwenda Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais a Zanzibar, Seif Sharrif Hamad (kushoto)akielekea kupanda Boti la Mv Kilimanjaro, kwenye Bandari ya Dar es Salaam, tayari kwa safari ya kwenda Zanzibar.
Maalim Seif akisaliana na manahodha wa meli hiyo
MaalimSeif akiwa ndani ya Boti hiyo ya kisasa iliyozinduliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar, Dk ali Mohamed Shein.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages