MAHAFALI YA PILI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAHAFALI YA PILI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA LEO

Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Jiografia na Mazingira ya  Chuo Kikuu Cha Dodoma wakisubiri kutunukiwa shahada zao
Picha Hapo Mbele ni Meza Kuu Ambapo Mgeni Rasmi Atakuwa hapo Mbele kama panavyoonekana.
Wahitimu Wa Shahada ya Kwanza Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakipozi Mbele ya Kamera Ya Lukaza Blogu. Kutoka Kushoto ni Juma Ramadhani, Manase Kavishe na Rafiki yao Mpendwa.
 Sehemu ya Kupiga Picha Za Ukumbusho Kama Inavyoonekana Katika Picha
 Baadhi Ya Wahitimu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakisubiri Kutunukiwa Shahada zao muda huu
Nikiwa Katika Picha Ya Pamoja na Mdau wa Lukaza Blogu Manase Kavishe wa Kwanza Kushoto
Endelea Kutembelea Lukaza Blogu Kwa Matukio Zaidi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages