Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni (kushoto)
akizungumza na wanahabari baada ya kufunga kongamano la wahariri na
waandishi wa habari waandamizi kuhusu taarifa za tafiti za upatikanaji
wa huduma za afya zilitolewazo na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
nchini. Kongamano hilo la siku mbili lilifanyika mjini Morogoro.
Mganga Mkuu wa Serikali, Mtasiwa akifafanua mambo mbali mbalimbali kuhusu masuala ya dawa na tiba.
Cosmas Nadimi wa MSD, akijibu maswali mbalimbali ya wanahabari kuhusu usambazaji wa dawa nchini
Mwenyekiti
wa Kongamano hilo, Lauden Mwambona akiongoza mijadala ya tafiti hizo.
Kutoka kushoto ni Benny Mwaipaja wa TBC Manyara na Saiboko wa Daily
News.
Mwenyekiti
wa Kongamano hilo, Lauden Mwambona akiongoza mijadala ya tafiti hizo.
Kutoka kushoto ni Benny Mwaipaja wa TBC Manyara na Saiboko wa Daily
News.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika kongamano hilo mjini Moro
Blandina
Nyoni akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji
la Taifa (TBC), Clement Mshana (kulia) pamoja na Mhariri Mtendaji wa
New Habari, Deodatus Balile.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)