BREAKING NEWS: MOTO WACHOMA NYUMBA KATIKA KAMBI YA JESHI LUGALO CHANZO NI KUWAKA NA KUZIMIKA KWA UMEME LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWS: MOTO WACHOMA NYUMBA KATIKA KAMBI YA JESHI LUGALO CHANZO NI KUWAKA NA KUZIMIKA KWA UMEME LEO

 Wakazi wa eneo hilo wakishuhudia moto baada ya kuwa wameokoa mali za watu...
 Moto Ukiwa umepamba Moto huku wanajeshi wakiwa wanafanya Juhuzi za kuzima 
  wanajeshi wakiendelea kuzima moto
 Wanajeshi wakifanya kazi kwa ushirikiano wa ukaribu kabisa kuokoa mali za watu 
 Wanajeshi wakiendelea kuzima Moto zaidi Kunusuru mali na maisha ya wakazi eneo Hilo 
 wanajeshi wakiendelea kuzima moto wakati kikosi cha kuzima moto kikisubiriwa ambacho kiliwasili baada ya moto kuwa umedhibitiwa kwa 99%
Gari Maalum la zima Moto likiwa eneo la Tukio Saa moja baada ya moto Kutokea 
Baadhi ya Vitu vilivyo okolewa
 
************
ZIMA WAKA ZIMA WAKA YA UMEME HAPA JIJINI DAR ES SALAAM NDIO ZIMESABABISHA MOTO KUWAKA KATIKA NYUMBA ZA JESHI HUKO KAMBI YA LUGALO HATA HIVYO WAMEOKOA BAADHI YA MALI NA ZENGINE KUTEKETEA. WANAJESHI WAMEJITAHIDI SANA KUFANYA KAZI YA KUZIMA MOTO KUTOKANA NA KWAMBA GARI LA ZIMA MOTO LILIFIKA SAA MOJA NA NUSU BAADAE 

HABARI IMELETWA NA RIPOTA WETU
ENOCK TARIMO WA LATEST NEWS TZ BLOGU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages