Benki ya NBC yatoa somo kuhusu Islamic Banking kwa wanachuo wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDBS) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Benki ya NBC yatoa somo kuhusu Islamic Banking kwa wanachuo wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDBS)

Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, Amman Muhammad (wa tatu kushoto) akizungumza na baadhi ya wafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu ch Dar es Salaam (UDBS) mara baada ya semina kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni. Wa nne kushoto ni Mshauri wa Kiufundi wa Islamic Banking wa NBC, Yassir Salim.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Islamic Banking wa Benki ya Absa, Amman Muhammad (kushoto) mara baada ya semina kuhusu taratibu za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu iliyoandaliwa na Benki ya NBC Tanzania kwa kushirikiana na UDBS chuoni hapo Dar es Salaam leo. NBC ambayo Absa inamiliki hisa kubwa ilizindua akaunti zinazofuata misingi ya kiislamu hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages