Balozi Wa Japan Nchini Tanzania Amtembelea Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi Wa Japan Nchini Tanzania Amtembelea Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mophamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Japan Nchini Tanzania,Mhe Masaki Okada,alipofika ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mophamed Shein,akizungumza na Balozi wa Japan Nchini Tanzania,Mhe Masaki Okada,alipofika ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais, Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages