ASKOFU GEOR DAVIE ALIPOHUDHURIA TAMASHA LA STREET UNIVERSITY - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ASKOFU GEOR DAVIE ALIPOHUDHURIA TAMASHA LA STREET UNIVERSITY

Msafara wa magari yake ukiingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Walinzi wake wakiwa wamelizunguka gari lake kuhakikisha usalama wa kutosha unakuwepo.
Akipanda ngazi kuelekea jukwaa kuu
Akiteta jambo na Mratibu wa Tamasha hilo, James Mwang’amba. Kulia ni Mbunge wa Arusha, Godbless Lema
Askofu wa Huduma ya Ngurumo ya Upako, Geor Davie, mwishoni mwa wiki iliyopita alikuwa miongonbi mwa wageni waalikwa waliohudhuria tamsaha la Street University jijini Arusha, ambapo aliingia uwanja wa Sheikh amria Abeid akiwa akitika msafara wake wa magari na kupokewa kwa vifijo na nderemo na wenyeji wake hadi meza kuu. Pichani  anaonekana akifuatailia tamasha hilo kwa makini.Picha Zote Na GPL TANZANIA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages