Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan Atembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)na Bandari - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan Atembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)na Bandari

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akimuliza Jambo Ofisa wa Huduma za Forodha Mamlaka ya Mapato Tanzania  Bw Abduliah Ali alipotembelea Kitengo cha Kima cha Huduma za Forodha Kulia Meneja  Huduma Bw Victor Msuya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipewa Maelezo na Meneja Port Operostons Bw John Micah  kwenye Hala la Kuekea Mizigo inayokwenda Zanzibar Bandari Mjini Dar es Salaam Wakati wa Ziara ya  kutembelea  Mamlaka ya Mapato Tanzania[TRA]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata Maelezo ya Kuskani Makontena kwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania {TRA}Bw Harry Kitillya wakati wa Ziara ya Waziri Bandarini Kulia Mkurugenzi wa Idara ya Muungano Baraka Baraka na Mukurugenzi Mipango Ofisi ya Makamu waRais Bi Joan Mbuya.
Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages