5527 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Petrobras, Bw. Fernando Jose
Cunha kwenye Ofisini kuu ya kampuni hiyo, Rio de Janeiro akiwa katika
ziara ya kikazi nchini Brazil Oktoba 7,2011. Kampuni hiyo imeanza kazi
ya kutafuta mafuta kwenye pwani ya Mtwara nchini.
5513 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na
Uongozi wa juu wa Kampuni ya Mafuta ya Petrobras kwenye Ofisini kuu ya
kampuni hiyo, Rio de Janeiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini
Brazil Oktoba 7,2011 Kampuni hiyo imekwishaanza kutafuta mafuta kwenye
pwani ya Mtwara.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)