WAZIRI MKUU akutana na wawekezaji kutoka russia - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU akutana na wawekezaji kutoka russia

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wawekezaji toka Russia ambao wanakusudia kuwekeza nchini katika sekta ya madini na gesi Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 30,2011.(Picha na OFisi ya Waziri Mkuu)
Hapa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mmoja wa wafanyabiashara wawekezaji kutoka Russia walipomtembelea ofisini kwake leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages