Meneja wa kanda ya ziwa wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel
Ally Maswanya akipokea cheti maalum kwa airtel ushiriki na shukrani
toka kwa kamati na jeshi la usalama barabarani kwa Airtel kuwa mdhamini
mkuu wa kampeni ya usalama barabara kutoka kwa mgeni Rasmi Mh Jaji mkuu
Mohamed Chande Othman katika halfa ya ufunguzi wa wiki ya usalama
barabarani iliyofanyika kitafia katika mkoa wa Kagera wiki hii,
wakwanza kulia pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la usalama barabarani na
Naibu Waziri wa mambo ya ndani Mh Hashim Kagesheki
Mwenyekiti
wa Baraza la usalama barabarani na Naibu Waziri wa mambo ya ndani Mh
Hashim Kagesheki akimshukuru Meneja wa kanda ya ziwa wa kampuni ya simu
za mkononi ya Airtel Ally Maswanya kwa kuwa mdhamini mkuu wa kampeni
ya usalama barabara kwa mwaka huu 2011, haya yalifanyika katika halfa ya
ufunguzi wa wiki ya usalama barabarani iliyofanyika katika mkoa wa
kagera wiki hii na kuudhuriwa na mgeni Rasmi Mh Jaji mkuu Mohamed Chande
(kati) pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabiani masawe
(wakwanza kushoto). wadhani wakuu wa mwaka huu ni kampuni ya simu za
mkononi ya Airtel na kampuni ya mafuta ENGEN Tanzania






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)