Afisa
tarafaBw. Peter Masidi akifungua rasmi vyumba viwili vya madarasa ya
shule ya Sekondari Lusaka yaliyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation
yenye thamani ya shilingi milioni 37 (kulia) ni Mkuu wa Vodacom
Foundation Bw. Yessaya Mwakifulefule .
Mkuu wa Vodacom Foundation Bw. Yessaya Mwakifulefule akimshukuru
AfisaElimuYaSekondariWilayaya Sumbawanga Bi. Emilia Fungo mara baada ya
hafla fupi ya kukabidhi vyumba viwili vya madarasa yaShuleyasekondari
Lusaka wilayanihumovyenyethamaniya sh. Milioni 37 viivyojengwa kwa
msaada wa Vodacom Foundation
Kikundi cha wanawake kikitoa burudani katikahaflafupiya makabidhianoyamadarasamawili yaliyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation kwa ShuleyaSekondari Lusaka Wilayaya Sumbawanga.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)