USAFIRI UNAPOKUA WA TABU KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA KILA MWISHO WA WIKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

USAFIRI UNAPOKUA WA TABU KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA KILA MWISHO WA WIKI


Ikifika saa 11 jioni bado upo mjini,basi tegemea kukumbana na tabu ya usafiri...Uchunguzi uliofanya na UC blog umebaini baadhi daladala zinazoenda Udom Huishia njiani hali inayopelekea baadhi ya wanafunzi kutembea umbali mrefu mpaka kufika kwenye maeneo yao...

Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma wakisubiri Usafiri wa kuelekea chuoni mida ya jioni katika stendi ya daladala Jamatini mjini Dodoma leo.(picha zote na Faddy Gaib Linga)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages