Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete(kulia) akipokea maua kutoka kwa mweka
Hazina wa Jumuia ya Watanzania waishio Australia Maryam Powell
(oktober 26,2011) walipokutana na wanajumia mjini Perth Australia
.Rais Jakaya Kikwete alikutana na wanajumuia kuzungumza mambo
mbalimbali ya maendeleo na kijamii, Rais yupo nchini Perth Australia
kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola(
commonwealth Heads of Government meeting- CHOGM 2011,utakaanza Oktober
28-30,2011, -
Mama Salma Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanajumuia.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akibadilisha mawazo na mwanajumuia wa
Australia Dr.Joseph Masika wakati Rais Jakaya Kikwete alipokutana na
wanajumuia wanaoishi Australia 0ktoba 26,2011 . na kuzungumza nao
mambo mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu

Baadhi
ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza. Rais Jakaya
Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011.
Baadhi
ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza. Rais Jakaya
Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011. nchini Perth

Picha
ya pamoja ya wanajumuia wa kike wanaoishi Australia pamoja na Mke wa
Rais na Mama Salma Kikwete baada ya kuamlizika mkutano wa Rais
Kikwete na Watanzania wanaoishi Australia,(okt,26,2011).Picha na
Mwanakombo Juma-MAELEZO Na Freddy maro-IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)