TANGA CEMENT YASAINI MAKUBALIANO YA USHIKIANO NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TANGA CEMENT YASAINI MAKUBALIANO YA USHIKIANO NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA


 Mkuregenzi mkuu wa TCCL Bw Erik Westerberg (kushoto) akiweka saini ya Ushirikano (MoU) kati ya Chuo cha ufundi Arusha na Tanga Cement. Kulia kwake ni Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt Richard Masika.
---
Kampuni ya saruji Tanga(TCCL) imesaini makubaliano ya Ushirikano (MoU) na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa lengo kukuza weledi na umahiri wa ufundi katika matumizi ya saruji Tanzania.

Katika makubaliano hayo, Kampuni ya saruji Tanga Itaipa ATC tani 2 za saruji kila  baada ya miezi mitatu  kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwa hasa  kwa  wanafunzi wanasoma programu ya mhandisi Ujenzi. Pia
itasaidia chuo  katika matengenezo ya vifaa vya kupimia uimara wa bidhaa za saruji pamoja utafiti wa bidhaa za saruji.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages