Mgeni
Rasmi, Eng. Bi. Margret Muyangi akizungumza na baadhi ya wasicha
kutoka Shule mbalimbali za Sekondari wakati wa Tamasha la Kuhamasisha
wasichana kujiunga na Mafunzo ya Ufundi na Sayansi
Baadhi
ya Wasichana waliofanya vizuri katika Masomo ya Ufundi na Sayansi katika
Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) walizawadiwa kompyuta
DKT.
DANIELE PASSALAQUA kutoka mradi wa TTELMS wa Italia akizungumza
wakati wa Tamasha la Kuhamasisha wasichana kujiunga na Mafunzo ya
Ufundi na Sayansi.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt Richard Masika akizungumza wakati wa Tamasha la Kuhamasisha wasichana kujiunga na Mafunzo ya Ufundi na Sayansi.Picha Kwa Hisani Ya Full Shangwe Blogu |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)