Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Boti Mpya ya Kilimanjaro
111, inayomilikiwa na kampuni ya usafiri wa Baharini (Azam Marine)
inayomilikiwa na Nd.Salim Said Baghresa,(wa pili kulia) ambayo hufanya
safari zake kutoka Zanzibar- Dar es Salaam, na uwezo wa kuchukua abiria
540 kwa wakati mmoja,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya
Malindi Zanzibar,(kushoto) ni Waziri wa Miundimbinu na Mawasiliano
Masoud Hamad Masoud,(Kulia) ni Baharia Kassim Siri Matola
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa nahodha wa Kilimanjaro111,Clement
R.Mgalula,wakati alipotembelea chumba cha nahodha huyo ambako shuhuli za
uendeshaji wa chombo hicho hufanyika,baada ya uzinduzi rasmi,(wa tatu
kushoto)mmiliki wa kampuni ya usafiri wa Baharini Azam Marine Nd.Salim
Said Baghresa,ambayo hufanya safari zake kutoka Zanzibar- Dar es
Salaam,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa Nahodha wa Boti ya Kilimanjaro
111,Clement R.Mgalula,jinsi ya kuaza kuiondosha boti ikiwa imefunga
gati, katika Bandari ya Malindi na kuanza kuondoka kufanya safari zake,
kutoka Zanzibar- Dar es Salaam,uzinduzi huo ulifanyika leo katika
bandari ya Malindi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa Boti Mpya ya
Kilimanjaro111,inayomilikiwa na kampuni ya Usafiri wa Baharini ya Azam
Marine ,inayo safiri kutoka Zanzibar-Dar es Salaam,ikiwa na uwezo wa
kuchukua abiria 540 kwa wakati mmoja,(kulia) Nd.Salim Said Baghresa,na
(kushoto) ni Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Masoud Hamad
Masoud,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akipokea zawadi kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya usafiri wa
Baharini (Azam Marine) Nd.Salim Said Baghresa,wakati wa uzinduzi wa
Boti mpya ya Kilimanjaro111,ambayo hufanya safari zake kutoka Zanzibar-
Dar es Salaam,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya Malindi
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya usafiri wa
Baharini (Azam Marine) Nd.Salim Said Baghresa,wakilekea katika Boti ya
Kilimanjaro111 kufanya uzinduzi rasmi wa Boti hiyo,ambayo hufanya
safari zake kutoka Zanzibar- Dar es Salaam,ikiwa na uwezo wa kuchukua
abiria 540,kwa wakati mmjoa,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari
ya Malindi Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano
Hamad Masoud Hamad.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na mmiliki wa kampuni ya usafiri wa Baharini Azam
Marine Nd.Salim Said Baghresa,wakati wa uzinduzi wa Boti mpya ya
Kilimanjaro111,ambayo hufanya safari zake kutoka Zanzibar- Dar es
Salaam,uzinduzi huo ulifanyika leo katika bandari ya Malindi
Zanzibar,(katikati) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Masoud Hamad
Masoud
Baadhi
ya waalikwa katika hafla ua uzinduzi wa Boti Mpya ya Kampuni ya Azam
Marine,Kilimanjaro111,wakiwa katika sherehe hizo zilizofanyika katika
viwanja vya Bandarini Malindi Zanzibar,ambapo uzinduzi wa boti hiyo
ulifanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk Aliu Mohamed Shein,(hayupo pichani).
Picha na Ramadhan Othman Ikulu
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)