NDEGE YAANGUKA NA KUUA BAADA YA KURUKA KUTOKA UWANJA WA KIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NDEGE YAANGUKA NA KUUA BAADA YA KURUKA KUTOKA UWANJA WA KIA

Picha ya ndege iliyo dondoka ikitoka Uwanja wa KIA usiku wa jana ambapo ilikuwa na Pilot aliyetambulika kwa jina la Ally aliyefariki dunia papo hapo pamoja na abiria ambaye amelazwa katika Hospitali ya KCMC kwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages