NAIBU WAZIRI WA ELIMU PHILIP MALUGO AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA WALIMU JIMBONI KWAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAIBU WAZIRI WA ELIMU PHILIP MALUGO AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA WALIMU JIMBONI KWAKE

Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya fundi ,Philipo Mulugo,ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songwe,akiwa katika picha ya pamoja na waratibu elimu wa kata ya jimbo La Songwe wilayani Chunya,baada ya kuwagawia vitendea kazi vya elimu Komputa Mpakato(Laptop) kwa lengo la kuinua viwango vya ufaulu jimboni humo.Picha Na Francis Godwin

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages