Spika wa Bunge la
Tanzania Mhe. Anne Makinda akihutubia Mkutano wa Afrika-Asia 2011 leo
ambapo amesisitiza elimu yenye maadili ndiyo njia pekee ya kumkomboa
mwanamke pamoja na jamii kwa ujumla. Mkutano huo umeandaliwa na Chuo
Kikuu cha Wanawake cha Sookmyung nchini Korea Kusini ambacho kimetiza
miaka mia moja na tano tangu kianzishwe 1906.
Salma Dinya ni
mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. John Dodoma ambaye alialikwa kwenye
mkutano huo kuiwakilisha Tanzania kama kiongozi kijana. Hapa anatoa mada
kwa wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya Asia na Afrika kuhusu Tanzania.
Kwa Hisani ya www.prince-minja.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)