MWAKILISHI Maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Amtembelea Rais Jakaya Kikwete - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWAKILISHI Maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Amtembelea Rais Jakaya Kikwete



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Mhe.Charles Nqakula ambaye ni mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na kufanya naye mazungumzo jana(jumatatu).
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mhe.Charles Nqakula ambaye ni mjumbe maalum wa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages