Tunaskitika kuwataarifu kuhusu kifo cha Mtanzania
mwenzetu Mzee Said Muhammad Sikamkono kilichotokea jana tarehe 11/10/2011
mchana katika hospitali ya Queen Elizabeth, Woolwich, London.
Mipango ya mazishi inaendelea na mtaendelea
kujulishwa. Kwa wakati huu ambao tutakuwa tunasubiri kupata taarifa ya mazishi,
mwenye kuweza kuchangia chochote au mwenye kuhitaji kujua zaidi kuhusu msiba
huu, tunaomba awasiliane na;
Sheikh Ayub kwa namba; 07944930708
AU
Said Surur
kwa namba; 07538063536
AU
Mr. Haruna Mbeyu kwa namba; 07813539025.
“MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU
SAID MUHAMMAD SIKAMKONO MAHALI PEMA. MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA, JINA LAKE
LIBARIKIWE”





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)