
Hapo
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe.Eng. Stella Manyanya (MB) alipokutana na
wasafirishaji hao na kuwashauri kuwa makini kuepusha ajali na kuongeza
ubora katika biashara zao kwani biashara yeyote ile bila kujali udogo
au ukubwa wake cha muhimu ni kuiongezea ubora(thamani)

Punda
nao ni sehemu ya Usafirishaji kwa jamii ya wanarukwa. Zipo fursa
nyingi za uwekezaji katika ukanda huu wa Ziwa Tanganyika ukizingatia
kuwa barabara zote zinazoingia na kutoka katika mkoa huu zinajengwa
kwa kiwango cha lami. Tukiwa safarini Mkuu wa Mkoa wa Rukwa
akisalimiana na Ndugu Joakim Mwaniti alipokuwa kwenye shughuli zake za
usafirishaji wa mkaa aliodai kuwa ameununua, alisema hayo baada ya
kumtoa wasiwasi kuwa lengo letu sio kumuhoji kuhusu alikopata mkaa huo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)