Baadhi ya washiriki wa Onyesho la
Mawigi 'Wigi Party' wakiwa katika Lango la kungilia kwenye Ukumbi
uliofanyika onyesho hilo uliopo katika mtaa wa Oxford, jijini London
Uingereza mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kati ya hawa Mwanamke ni mmoja tu
hapa huyu wa (kushoto) hata huyu wa (kulia) ni jidume Kamera ya
Sufianimafoto haikuweza kukujua kwa undani imekuwaje hadi akaonekana
akiwa na umbile linalofanana na jinsia ya kike (yaani matiti) kama
anavyoonekana.
Hata kati ya hawa hakuna dume.....
Hawa ndo walikuwa wakiwasili eneo hilo
la tukio kama wanavyoonekana wakiwa na vivazi na mapozi na miondoko ya
kishosti.....ambapo walikuwa wakikatiza katika mitaa wakiwa kama
wanavyoonekana....
Huyu
naye akiweka pozi ili apate picha kutoka kwa paparazi wa kitaa...
Huyu naye akiwa na kivazi cha ajabu
kilicho na mkia, hapa alikuwa akirekebisha na kufunga kiatu chake....
Huyu mwenye mkia aliwavutia baadhi ya
wadau waliokuwapo eneo hilo na kuamua kumuomba kupozi naye kwa pozi la
'Snap'.
Wakina dada waliokuwapo eneo hilo walishindwa kuvumilia na kuamua
kuchukua vijisimu vyao na kuanza kupata picha za kumbukumbu kama
anavyoonekana mmoja wa madada akipicha piga hapa kwa pozi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)