Maharusi wakiingia Ukumbini kwa kwa furaha na Stail ya aina yake.
Bwana na Bibi Denis Fulgence wakiwa katika pozi la kipicha zaidi.
Mr and Mrs Stephen Malakasuka nao hawakuwa nyuma katika kushereheka pamoja katika harusi ya Wapendwa wetu Maharusi.
Bi
Harusi Ajimbo Fulgence akiwaongoza wageni waalikwa kwenda kwenye
kuchukua chakula kilichoandaliwa na wataalam wa upichi wa Bufee ndani ya
Ukumbi wa Beach Komba.
HONGERENI SAAANAA!! MMEPENDEZA.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)