Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
katika mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika Geneva,
Switzerland, Oktoba 25
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika ufunguzi wa mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika
Oktoba 25, Geneva Switzerland, ambapo Tanzania ilikuwa ni moja kati ya
nchi zilizoshiriki katika maonyesho ya mkutano huo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akichangia hoja wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika Oktoba 25, 2011
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Mawasiliano wa India, Kapil Jibal, wakati
walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika Oktoba 25, Geneva, Switzerland
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihojiwa
na mtangazaji wa Televisheni ya CNN, Becky Underson, baada ya kuhudhuria
katika mkutano wa Mawasiliano wa kimataifa uliofanyika Geneva,
Switzerland, Oktoba 25.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)